Mfumo wa kisasa wa kusimamia taarifa za kanisa, waumini, michango, zaka, maono, matumizi ya fedha, na taarifa muhimu kwa ufanisi mkubwa.
Church Management System built for better administration and finance control.
Simamia taarifa za kanisa kwa njia rahisi, salama, na ya kisasa.
Hifadhi taarifa za waumini, vikundi vyao, na historia zao kwa mpangilio mzuri.
Fuatilia zaka, maono, sadaka, matumizi, na ripoti za kifedha kwa urahisi.
Baadhi ya vitu ambavyo mfumo huu utaweza kufanya.
Usajili wa waumini wapya na uhifadhi wa taarifa zao.
Kurekodi zaka, sadaka, maono, na michango mingine ya kanisa.
Kuhifadhi matumizi yote ya kanisa kwa mpangilio na uwazi.
Kutoa ripoti za mapato, matumizi, salio, na uchambuzi wa fedha.
Watumiaji kuingia kwa usalama kulingana na role zao.
Baadaye tutaongeza SMS/Email reminders kwa michango na taarifa muhimu.
Ingia kwenye mfumo na anza kusimamia taarifa na finances za kanisa kwa urahisi.
Go to Login